Wednesday, April 02, 2014

Mgombea wa Nafasi ya Ubunge Jimbo la Chalinze Kupitia Chadema Mathayo Torongey Aendelea na Kampeni Za Nguvu

 Katibu wa CCM Kata ya Kimange Bwana Haji aliondoka CCM na kujiunga na CHADEMA huku akikabidhiwa kadi yake na Makamu Mkiti Said Issa Mohamed.

No comments:

CHUO KIKUU MZUMBE CHAPOKEWA MSAADA WA VITABU KUTOKA ACCA

  Chuo Kikuu Mzumbe kimepokea vitabu 69 vya kufundishia na kujifunzia kutoka Association of Chartered Certified Accountants (ACCA) kupitia o...