Monday, April 14, 2014

Muhidin Maalim Gurumo afariki dunia

 
 Muhidini Maalimu Gurumo afariki dunia. 
---
 
NGULI na Shujaa wa muziki wa dansi nchini na Afrika Mashariki, Muhidin Maalimu Gurumo afariki dunia jana baada ya kusumbuliwa na maradhi kwa muda.

Gurumo ambaye aliaga rasmi jukwaa la muziki baada ya kuwa katika tasnia hiyo kama muimbaji kwa miaka 53. Ambapo alianza kazi ya muziki mwaka 1963.

 Gurumo atakumbwa sana kwa nyimbo zake mbalimbali alizoimba akiwa na bendi za Ochersta Safari Sound (OSS), DDC Mlimani Park “Sikinde Ngoma ya Ukae” na Msondo Ngoma 'baba ya Muziki.'

No comments:

MSAJILI WA HAZINA AZINDUA MPANGO MKAKATI WA NMB 2026-2030

Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amezindua Mpango Mkakati wa Muda wa Kati wa Benki ya NMB wa mwaka...