Friday, April 25, 2014

WAZIRI MKUU WA MSUMBIJI AZURU CCM, ALAKIWA NA KATIBU MKUU WA CCM KINANA


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  akimlaki Waziri Mkuu wa Msumbiji, Alberto Vaquina aliyewasili leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam., ambapo walipata wasaa wa kufanya mazungumzo. Katikati ni  Vicente Veroso Balozi wa Msumbiji nchini. PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Kinana akisalimiana na Balozi wa Msumbiji nchini, Vicente Veroso
Kinana akijadiliana jambo na Waziri Mkuu wa Msumbiji, Vaquina

Kinana akielekea na mgeni wake ofisini kufanya mazungumzo
Kinana akiwa na mgeni wake ofisini

No comments:

WAZIRI WA FEDHA: BAJETI YA 2026/27 KUIJENGA TANZANIA YA DIRA YA 2050

  Na Eva Valerian, WF, Dodoma Serikali imesema Bajeti Kuu ya mwaka wa fedha 2026/27 ni ya kipekee kwa kuwa ndiyo bajeti ya kwanza itakayot...