Thursday, April 24, 2014

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KITUO CHA WALEMAVU CHA RASIBURA NA KUTOA ZAWADI YA PASAKA

Jengo linalotumika kwa makazi ya walemavu huko Rasibura, katika Mji wa Lindi likiwa katika hali mbaya ya uchakavu. Jengo hilo awali lilikuwa likitumiwa kama gereza na Jeshi la Magereza la Lindi na baadaye kukabidhiwa kwa Idara ya Ustawi wa Jamii na ndipo walipoamua kutumia kama jengo la kuwatunzia watu wenye ulemavu.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitembelea sehemu mbalimbali za jengo la kuwatunzia walemavu huko Rasibura Mjini Lindi akiongozwa na Mlezi wa Kituo hicho Ndugu Simon Mnimbo kutoka Kanisa Katoliki Jimbo la Lindi tarehe 20.4.2014.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na mtoto Idd Mohamed Chitawala ambaye ni mlemavu wa macho anayeishi katika kituo cha rasibura pamoja na Baba yake Mzazi Bwana Mohamed Chitawala.

No comments:

WAZIRI NA NAIBU WAZIRI WA ARDHI WASHIRIKI KIKAO CHA KWANZA CHA MKUTANO WA 19 WA BUNGE LA 12 KWA AJILI YA KUJADILI BAJETI YA SERIKALI 2025/2026

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi (MB), leo tarehe 8 Aprili 2025, ameshiriki kikao cha kwanza cha Mku...