Wednesday, April 02, 2014

NAPE: CCM ITASHINDA UCHAGUZI CHALINZE‏

1

Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo la Chalinze.
IMG_6292Waandishi wa habari wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi na Nape katika mkutano na waandishi wa habari leo mjini Chalinze.
Nape amesema kampeni zinaenda vizuri lakini wamekumbana na…

1
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo la Chalinze.
IMG_6292Waandishi wa habari wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi na Nape katika mkutano na waandishi wa habari leo mjini Chalinze.
Nape amesema kampeni zinaenda vizuri lakini wamekumbana na Changamoto za miundombinu ya barabara kutokana na mvua ambazo zinaendelea kunyesha nchini kote, jambo ambalo linaweza kuchangia wagombea kushindwa kuwafikia baadhi ya wananchi katika baadhi ya maeneo ya jimbo hilo, Nape ameongeza kwamba hata hivyo chama hicho kitashinda kwa asilimia 94 katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Aprili 6 Jumapili ijayo

No comments:

BILIONI 51 KUTUMIKA UJENZI WA BARABARA, MASOKO NA STENDI JIJINI ARUSHA

Mradi wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa...