Monday, April 28, 2014

Rais Jakaya Kikwete Amtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano (Daraja la Kwanza) Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba IKULU Jijini Dar es Salaam

Rais Kikwete akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano (Daraja la Kwanza) Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia alikuwa Mwenyekiti Tume ya kurekebisha Katiba Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba wakati wa sherehe hizo zilizofanyika katika ukumbi wa mikutano,Ikulu jijini Dar es Salaam.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...