Waziri wa nishati na madini Mheshimiwa Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo ameteua wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kutoka Taasisi zisizo za kiserikali (NGO), Sekta Binafsi na washiriki wa Maendeleo kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia tarehe 1 Aprili, 2014 kama ifwatavyo:-
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Majina ya wajumbe walioteuliwa na Taasisi wanazoziwakilisha ni kama ifuatavyo:- Bw. Edmund P. Mkwawa
Tanzania Banker’s
Association
iiBi Rehema Tukai
Foundation for Civil
Society
iiiBi Renatha J. Mwageni
Tanzania Federation
of Cooperation
ivBw. Innocent G. Luoga
Wizara ya Nishati na
Madini
vBw. Kalist Luanda
Ofisi ya Waziri Mkuu –
TAMISEMI
viBw. Emmanuel M. Tutuba
Wizara ya Fedha
vii
Dkt Gideon H. Kaunda
Tanzania Private Sector
Foundation
vii
Bi Stella Mandago (Observer)
African Development
Bank (AfDB)
Wakala wa Nishati Vijijini ulipitishwa kwa Sheria ya Bunge Na. 8 ya mwaka 2005 na uteuzi wa wajumbe hawa umezingatia Sifa muhimu zinazotakiwa kwa wajumbe wa Bodi. Kutokana na kukidhi sifa husika MheshimiwaProf. Sospeter M. Muhongo (Mb) amemteua Bw. Edmund P. Mkwawa kuwa Mwenyekiti wa Wakurugenzi wa Bodi ya Nishati Vijijini
Imetolewa na:
KATIBU MKUU
WIZARA YA NISHATI NA MADINI
Comments