Posted by
Vempin Media Tanzania
on
- Get link
- X
- Other Apps
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Man United, David Moyes.
Kocha wa klabu ya Manchester United David Moyes ametumiliwa. Taarifa zaidi zinakujia hivi punde!
Kocha wa Man Utd, Ryan Giggs kwa sasa.
Mchezaji wa siku nyingi wa Manchester United, Ryan Giggs, amekabidhiwa kwa muda mikoba ya David Moyes aliyetimuliwa kazi leo.
Comments