Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd. (MCL) yazindua mpango kabambe wa kuchapisha magazeti yake jijini Mwanza
Akizindua uchapishaji wa magazeti ya kampuni hiyo ambayo ni Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti usiku wa kuamkia leo, Meya wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula alisema hatua hiyo itawaepusha wasomaji wa maeneo hayo kusoma “habari viporo” walizokuwa wakipata kwa muda mrefu.
Mabula alisema upatikanaji habari kwa wakati kwa njia ya magazeti katika Kanda ya Ziwa umekuwa ni moja ya changamoto kubwa kwa miaka mingi.Kwa habari zaidi Bofya na Endelea.....
Comments