Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma George Yambesi Atia Saini ya saini makubaliano na Makampuni Yaliyoshinda Zabuni ya Kujenga Mtandao wa Mawasiliano.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yambesi (kulia) na Afisa Masoko na Mauzo TTCL Bw. Peter Ngota (kushoto) wakitia saini mkataba wa makubaliano ya kuweka mtandao mmoja wa mawasiliano Serikalini hivi karibuni jijini Dar es salaam
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yambesi (kulia) akibadilishana Mkataba waliosaini Mkurugenzi wa Kampuni ya Softnet Gilbert Herman (kushoto)hivi karibuni jijini Dar es salaam
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George Yambesi akiongea na washiriki (hawapo pichani) waliohudhria hafla ya kusaini mikataba ya kuweka Mtandao wa Mawasiliano wa Serikali hivi karibuni jijini Dar es salaam
Comments