MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE WAJASIRIAMALI KUTENGENEZA BIDHAA ZENYE SOKO LA UHAKIKA

 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vikundi vya Wanawake Mbagala, (UWAMBA), Mama Zenna Hanga kwenye sherehe za uzinduzi wa vikundi hivyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Dar Live huko Mbagala Rangi tatu
 
  Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vikundi vya Wanawake Mbagala, (UWAMBA), Mama Zenna Hanga kwenye sherehe za uzinduzi wa vikundi hivyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Dar Live huko Mbagala Rangi tatu.
  Mwenyekiti wa WAMA na Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akiangalia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na wana UWAMBA wakati wa sherehe za uzinduzi wa kikundi cha huko Mbagala.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live tarehe 9.4.2014.

Comments