Taarifa ya Habari Kutoka ITV: Mtu mmoja afariki dunia na 19 kujeruhiwa na kuporwa vitu mbalimbali zikiwemo simu za mkononi na fedha baada ya majambazi kufunga barabara ya Mkata Doma barabara ya Morogoro-Iringa



Comments