Thursday, April 03, 2014

Maadhimisho ya Kimataifa ya kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea mwaka 1994 kufanyika jijini Dar esSalaam Aprili 7

Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Dkt. Ben Rugangazi akiongea na waandishi wa habari Jana  jijini Dar es salaam juu ya maadhimisho ya Kimataifa ya kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea mwaka 1994, maadhimisho hayo yatakayofanyika jijini Dar es salaam Aprili 7, mwaka huu ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Ofisi ya Rais (Asiye na Wizara Maalum), Prof.Mark Mwandosya.
 Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Dkt. Ben Rugangazi (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)jana jijini Dar es salaam kuhusu kumbukumbu ya maadhimisho ya mauaji ya kimbari ya Rwanda ya 1994. Kushoto ni Afisa Habari wa Kituo cha Kimataifa Stella Vuzo.
 Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Dkt. Ben Rugangazi (kushoto) akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam juu ya maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya  kumbukumbu ya miaka 20 ya  mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea mwaka 1994, maadhimisho hayo yatakayofanyika jijini Dar es salaam Aprili 7, mwaka huu ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Ofisi ya Rais (Asiye na Wizara Maalum), Prof.Mark Mwandosya. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Assah Mwambene.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Assah Mwambene wakati wa mkutano na MBalozi wa Rwanda nchini Tanzania Dkt. Ben Rugangazi Jana jijini Dar es salaam.Picha zote na Eleuteri Mangi-MAELEZO

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...