Wednesday, April 02, 2014

Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal Apanda Mti ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya kupanda miti Kitaifa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Bilal, akipanda mti wa Mwembe nje ya Ofisi yake mpya ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya kupanda miti. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais-IKULU

No comments:

RAIS SAMIA AZINDUA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan , amezindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi w...