Thursday, November 07, 2013

Ujumbe wa kampuni la kibishara linalojiusisha na masuala ya Ujenzi la Poly International ya China watembelea NHC

 Menejimenti ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika picha ya pamoja na Ujumbe mahsusi kutoka kampuni la kibishara linalojiusisha na masuala ya Ujenzi la Poly International ya China
 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu akijadiliana jambo na Ujumbe mahsusi kutoka kampuni la kibishara linalojiusisha na masuala ya Ujenzi la Poly International ya China kwenye jengo la NHC House.
 
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu akiwaonyesha kitu Ujumbe mahsusi kutoka kampuni la kibishara linalojiusisha na masuala ya Ujenzi la Poly International ya China kwenye jengo la NHC House.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu akiuongoza Ujumbe mahsusi kutoka kampuni la kibishara linalojiusisha na masuala ya Ujenzi la Poly International ya China kuingia kwenye jengo la NHC House.
  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu akiwaonyesha kitu Ujumbe mahsusi kutoka kampuni la kibishara linalojiusisha na masuala ya Ujenzi la Poly International ya China kwenye jengo la NHC House.

No comments:

NAIBU WAZIRI WA FEDHA AMWAKILISHA WAZIRI WA FEDHA KATIKA KONGAMANO LA 16 LA MWAKA LA WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI – ARUSHA

Naibu Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Mhandisi Mshamu Ali Munde, amemwakilisha Waziri wa Fedha katika ufunguzi wa Kongamano la 16 la Mwaka la Wa...