Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania,Bw.Moezz Mir akifungua semina ya wajasiriamali wadogowadogo na wakati ikiwa na lengo la kuwaelimisha jinsi ya kufanyabiashara na kutumia mikopo kwa njia sahihi,Semina hiyo iliyoandaliwa na benki hiyo itafanyika kwa siku mbili jijini Dar e Salaam.
Baadhi ya wajasiriamali wadogowadogo na wakati wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa KCB Tanzania,Bw.Moezz Mir(hayupo…
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MTUHUMIWA WA “KUFUTA MADENI” YA MIKOPO AKIRI KOSA, AHUKUMIWA KIGOMA
KIGOMA, Septemba 4, 2026 — Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imemhukumu Nicholaus Komba Mahitana maarufu kama Abdallah Mahimbo baad...
-
Hapa mmoja wa watoto hao akiwa na kijana mwenzake mwenye miaka 18, wote wako sawa lakini yeye hawezi kuzungumza kama watu wa kawaida. Mama S...
-
Nadhani mtakumbuka kibwagizo maarufu katika TV ambacho kinaimbwa perupe pepero perupe pepero hawa ni vijana wa Sisi Tambala waliokuwapo kati...
-
Mdau Julius Samwel hivi karibuni alikuwa huko Mwanza na hizi ndizo alizofanikiwa kutumegea, wadau hebu someni hicho kibao mniambie kuna nini...
No comments:
Post a Comment