Watu sita wameuwawa na 36 wamejeruhiwa na kulazwa katika hospitali ya Bwagala na wengine kulazimika kuyakimbia makazi yao kufuatia vurugu na mapigano ya vikundi vya wakulima vya ulinzi wa jadi

Comments