Thursday, November 07, 2013

DJ Rankim Ramadhan afariki dunia

DJ Rankim Ramadhan pichani juu amefariki dunia.
Taarifa zilizoifikia Blog hii jiloni ya leo zinapasha kuwa DJ mkongwe ambaye anaujuzi wa hali ya juu katika kupangilia muziki awapo studio na Club DJ Rankim amefariki dunia wakati akifanyiwa upasuaji Hospitali ya Mwananyama. 

Ujumbe wa mwisho wa Novemba 4 mwaka huu alioutoa DJ Rankim katika ukurasa wake wa Facebook unanukuu maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.

Rankim Ramadhani "Madokta wanasema ni apendix ndiyo inayonisumbua hapa sijala toka jana maumivu tu ndiyo yananitesa tumbo na mbavu vinauma sana na ss hv nachoma kristapen ya tatu kwa leo but theres no releaf"

Mipango ya mazishi inaweza kuwa Sinza kwa Remmy au Salasala. 

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...