Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)
Dk Charles Msonde
akionyesha moja ya
karatasi za majibu ya mtihani wa darasa la saba kwa waandishi
wahabari Dar es Salaam jana, wakati wa kutangaza matokeo ya
mtihani huo wa
mwaka huu. Picha na Emmanuel Herman
----
Dar es salaam Tanzani Matoke ya Darasa la Saba yametangazwa
hivi punde hivi
punde na mwaka huu
ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 30.72 mwaka jana
mbaka asilimia 50.61 mwaka huu kutokana na wanafunzi walio
fanya mtihani
mwaka huu wa darasa la saba wamefaulu zaidi ukilinganisha na
wanafunzi wa
mwaka jana Kaimu
mtendaji wa Baraza la Mtihani Charles Msonda amesema
ufauru katika masomo yote umepanda kwa asilimia kati ya 6.01
na 28.06
ukilinganisha na
mwaka 2012 Mwaka huu watainiwa wamefahulu zaidi katika
somo la Kiswahilin kwa asilimia 69.06 na somo walilio faulu
kwa kiwango kidogo
zaidi ni somo la Hisabati wamefaulu kwa asilimia 28.62
Msonda amesema jumla
ya watahiniwa 427,606 kati ya 844,938 walio fanya mtihani
huo wamepata alama
ya 100 kati ya alama ya 250 idadi hiyo nisawa na asilimia
50.61
Comments