Serikali imependekeza ongezeko la adhabu kwa magazeti yanayochapisha habari zinazoweza kusababisha uchochezi au uvunjifu wa amani katika jamii kutoka faini ya shilingi elfu 10 na 5 hadi kiasi kisichopungua shilingi milioni 5



Comments