Waziri Mkuu Mizengo Pinda Ashiriki Mazishi Ya Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk Sengondo Mvungi Kijijini Kwake, Chanjale, Kisangara Juu
Askofu wa Jimbo, Geita Dmiano Dallu akifukiza ubani mwili wa Dr. Edmund Mvungi katika ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwa marehemu, Chanjale wilayani Mwanga Novemba 18, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Dr.Edmund Mvungi katika ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwa marehemu Chanjale wilayani Mwanga Novemba 18, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka shada la maua katika jeneza la marehemu Dr. Edmund Mvungi kabla ya azishi yaliyofanyika kijijini kwa marehemu Chanjale wilayani Mwanga Novemba 18, 2013.
Comments