
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali bungeni mjini Dodoma Novemba 7, 2013.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema akifafanua hoja za wabunge, bungeni mjini Dodoma Novemba 7, 2013.

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe,Bungeni mjini Dodoma Novemba 7, 2013.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Lushoto, Henry Shekifu, Bungeni mjini Dodoma Novemba 7, 2013.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 7, 2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment