RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA VIETNAM MHE. VO THANH NAM
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam hapa nchini Mheshimiwa Vo Thanh Nam huko Ikulu hapa Dar es Salaam tarehe 4.11.2013.
Rais Dkt. Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi Mteule wa Vietnam hapa nchini Mheshimiwa Vo Thanh Nam
PICHA NA JOHN LUKUWI
Comments