NSSF NA BUMACO ZAWAPIGA MSASA VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA KILIMANJARO


 Meneja wa NSSF mkoa wa Kilimanjaro Delphina Masika akimuelekeza jambo afisa utekelezaji wa NSSF Daudi Mwangole wakati wa warsha ya viongozi wa vyama vya ushirika.
  Viongozi wa vyama vya Ushirika  mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia maelzo
yaliyokuwa yakitolewa na maofisa wa mfuko wa hifadhi ya jamii mkoa wa
Kilimanjaro NSSF pamoja na maofisa wa kampuni ya BUMACO ambao ndio
waliandaa warsha hiyo. Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.

Comments