Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Anna Abdallah kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 4, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Longido Lekule Laizer (kulia) na Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 4, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Ritta Kabati kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 4, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments