Majengo ya NHC yabadilisha sura ya jiji la Dar


Mradi wa NHC Mindu uliopo  mtaa wa Mindu eneo la Upanga, takribani mita 100 kutoka Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili, una sehemu ya nyumba 60 za kuuzwa zilizopo kwenye jengo la ghorofa 15, uko sehemu zenye huduma zote muhimu za kijamii zikiwamo hospitali, shule, maduka, na masoko.
 Plot number One NHC ufukoni njia panda ya Ally Hassan Mwinyi na Ufukoni 

Jengo la NHC House lililopo kwenye mtaa wa Samora jijini Dar es Salaam ni miongoni mwa majengo yaliyopo katikati ya jiji yaliyobadilisha kabisa sura ya jiji la Dar es Salaam. Mengine yanaendelea kujengwa maeneo mbalimbali ya nchi lengo ni kuwa mwendelezaji mkuu wa miliki.

Comments