Friday, November 22, 2013

KAMATI KUU CHADEMA YAMTEUA TUNDU LISSU KUWA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA

Mhe. Tundu Lissu.
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imemteua Mhe. Tundu Lissu kuwa Mwanasheria Mkuu wa chama hicho. Kamati hiyo ilikaa kikao chake Novemba 20 mpaka 21 katika Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

No comments:

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Awasili Marekani kwa Kikao cha UNGA 80

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango , leo tarehe 21 Septemba 2025 amewasili jijini New York, Marekani . ...