Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Kongamano la Wawekezaji wa Sekta ya Korosho nchini,lililofanyika jijini Dar es Salaam,leo katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere. Picha na OMRWaziri wa Kilimo, Eng. Christopher Chiza, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua kongamano hilo.Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho, Mudhihir Mudhihir, akizungumza kabla ya kumkaribisha Waziri wa Kilimo, kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua kongamano hilo.Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akisoma hotuba yake ya ufunguzi.
Comments