Thursday, November 07, 2013

FRAMES ZA MADUKA ZILIZOPO ENEO ZURI LA BIASHARA ZINAPANGISHWA

1a
Mahali zilipo:  Kinondoni Morocco, Biafra, Zinatazama Uwanja wa Biafra/Chuo Kikuu Huria,
  Zinapakana barabara ya  kuelekea Ada Estate
 Maelezo: Ukubwa  Upana  Mita 3 Urefu Mita 3. Kila Moja inajitegemea Umeme Bei:  Tshs. 300,000.00 (Shiling Laki Tatu) kwa mwezi
 Contact: 0754 872 131,  Mwoga, G
2a3a4a

No comments:

🔴🔴TABORA ZOO YAENDELEA KUNG'ARA KAMA KITOVU CHA ELIMU, BURUDANI NA UTALII WA NDANI

Na Mwandishi wetu, Tabora. Bustani ya Wanyamapori Tabora (Tabora Zoo) imeendelea kujipambanua kama kivutio muhimu cha elimu na burudani jiji...