Kutoka kushoto ni Digna Mbepera, Mary Lucos, Aneth Kushaba AK47 na Joniko Flower....Kikosi kazi cha Skylight Band kikitoa burudani kwenye Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Lubea na mrembo mkali walikuwa wakitoa Shots za Tequila bure kwa mashabiki wa Skylight Band.
Mashabiki wa Skylight Band wakijimwaga na burudani tamu ya Skylight.
Aneth Kushaba AK47 akiongoza kikosi kazi cha Skylight Band kutoa burudani kwa mashabiki wake.
'Yachuma chuma' ndio habari ya mujini kwa sasa...njoo leo tuicheze pamoja na Skylight Band.
Utamu wa nyimbo za Skylight Band unapokolea lazima ushike kichwa kama picha inavyoonyesha.
Skylight Band wakilisongesha.
Mashabiki wa Skylight Band wakizungusha mduara.....Mambo pwani wa mbele aende nyuma na wa nyuma aende mbele.
Sam Mapenzi wa Skylight Band akichizika na shabiki wake.
Mambo ya bondeni kwa Madiba yalihusika pia.....ni mwendo wa burudani ya kukata na shoka njoo ujionee mwenyewe leo pale Thai Village.
Mmoja wa mashabiki wa Skylight Band akionyesha ufundi wake wa kusakata Sebene la Skylight Band na mwishowe alijishindia Pesa taslimu pamoja na complimentary za kumwaga....Kama na wewe unajua kusebeneka njoo leo utuonyeshe pengine bahati yaweza kuwa yao.
Digna na mwimbaji mpya wa Skylight Band....
Mary Lucos na Digna wakishow love.
Aneth Kushaba AK47 akiwa backstage na kipaji kipya cha Skylight Band...Unataka kumjua jina lake na kuona uwezo wake? Njoo Thai Village leo ushuhudie kwa macho yako.
Comments