Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilifunua na kulinyanyua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo Kirumba mjini Mwanza (picha na Freddy Maro)Rais Dkt. Jakaya Kikwete ni shabiki mkubwa mno wa michezo, na kila timu ya Taifa inapofanya kazi nzuri huwa anafarajika sana
Comments