Monday, December 02, 2013

MZEE NA ‘JAHAZI LAKE’ WACHENGUA MASHABIKI DAR LIVE


Shabiki aliyevaa kihasara akinengua jukwaani.
Khadija Yusuf akiimba.
Mzee Yusuf akinengua na mpiga gitaa wake.
…Akiwaimbisha mashabiki.
Mashabiki wakiserebuka kivyao.
Shabiki akijimwaya.
Kijana aliyetuhumiwa kukwapua pochi akiwa chini ya ulinzi na pochi alilokwapua.
--
UKUMBI wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar es Salaam,  ulifurika mashabiki katika onyesho la bendi ya taarabu ya Jahazi inayoongozwa na staa Mzee Yusuf.PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY / GPL

No comments:

KUMBUKIZI YA MIAKA 121 YA VITA VYA MAJIMAJI YATOA MSUKUMO MPYA KWA URITHI NA UTALII WA KILWA

  KILWA MASOKO: Uzinduzi wa Sherehe za Kumbukizi ya Miaka 121 ya Vita vya MajiMaji umefungua fursa na kutoa msukumo mpya katika juhudi za ku...