Monday, September 14, 2015

MGOMBEA WA UKAWA MAULID MTULIA AZINDUA KAMPENI YA UBUNGE JIMBONI KINONDONI!


Mgombea ubunge wa UKAWA kupitia chama cha CUF Maulid Salum Mtulia akihutubia mamia ya watu waliohudhria uzinduzi wa kampeni za ubunge jimbo la Kinondoni jana jioni.

Vyama vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA jana vilizindua kampeni za ubunge kwa jimbo la Kinondoni ambapo mamia ya watu walihunduria katika viwanja vya Mapilau. Ukawa wameamua kusimamisha mgombea mmoja kwa kila jimbo toka vyama vya Chadema, CUF, NCCR Mageu na NLD ambapo kwa jimbo la Kinondoni Ukawa imemsimamisha Maulid Salum Mtulia.
Bw Mtulia akimwaga sera jana jioni Mwananyamala katika viwanja vya Mapilau.
Meza kuu!
Baadhi ya viongozi wa vuama vinavyounda UKAWA wakiomba duaa kabla ya mkutano kuanza rasmi.
Wakati wa duaa!
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Profesa Abdallah Safari akihutubia mamia ya watu waliohudhuria uzinduzi wa kampeni za UKAWA kwa ubunge wa jimbo la Kinondoni jana jioni.
 Picha zote na  Hassan Kachloul
Post a Comment