Sunday, September 06, 2015

MAMA SAMIA AMALIZA ZIARA YA KAMPENI MKOA WADAR ES SALAAM

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Majohe kwa Warioba, jimbo la Ukonga, Dar esSalaam, jana.
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, alipohutubia mkutano wa kampeni jana katika jimbo la Ukonga, Dar es Salaam
Mgombea Ubunge jimbo la Ukonga, Jerry Silaa, akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa Mgobea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia,uliofanyika katika jimbo hilo jana.
Maelfu ya waanchi wakimsikiliza Mgombea Ubuge jimbo la Ukonga, Jerry Silaa alipowahutubia mkutano wa kampeni katika jimbo hilo.
Wema Sepetu (kushoto) akiwa na wasanii wenzake ambao wamo katika kampeni ya MAMA ONGEA YA MWANAO AMPE KURA DK. MAGUFULI, kumsaidia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, kusaka kura za Mgobea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Ukonga.
Mmoja wa wasanii hao wa Bongo Movie, akimsalimia kwaraha, Mama Samia wakati wa mkutano huo wa kampeni jimbo la Uknga.
Wema Sepetu akimsalimia Mama Samia wakati wa mkutano huo
Wema Sepetu akisalimia maelfu ya wananchi kwenye mutano wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia jana katika jimbo la Ubungo.
Wasanii waiopo katika mpango wa Mama Ongea na Mwanao ampe kura Dk. Magufuli, wakiwasilimia wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika jimbo la Ukonga.
Post a Comment