Tuesday, September 08, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA, HALMASHAURI NA WAKURUGENZI WA HOSPITALI ZA RUFAA, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

X9

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Stephen Kebwe, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi Makamu wa Rais kufungua Mkutano huo.
 Picha zote na OMR
X2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano wa mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri na Wakurugenzi wa Hospitali za Rufaa, ulioanza leo Sept 8, 2015 na Maadhimisho ya Miaka 40 ya Mpango wa Taifa wa Chanjo uliofanyika kwenye Hoteli ya Blue Peal Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.  
X3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo Prof. Philemon Sarungi, akiwa ni mmoja kati ya Viongozi waliowahi kuiongoza Wizara ya Afya. Sarungi alikabidhiwa tuzo hiyo , wakati wa hafla ya ufunguzi wa  Mkutano wa mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri na Wakurugenzi wa Hospitali za Rufaa, ulioanza leo Sept 8, 2015 na Maadhimisho ya Miaka 40 ya Mpango wa Taifa wa Chanjo uliofanyika kwenye Hoteli ya Blue Peal Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.   Katikati ni Naibu Waziri wa Afya, Stephen Kebwe (kushoto) ni Katibu Mkuu, Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando.
X4
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo Mhe. Anna Abdallah, akiwa ni mmoja kati ya Viongozi waliowahi kuiongoza Wizara ya Afya. Anna alikabidhiwa tuzo hiyo, wakati wa hafla ya ufunguzi wa  Mkutano wa mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri na Wakurugenzi wa Hospitali za Rufaa, ulioanza leo Sept 8, 2015 na Maadhimisho ya Miaka 40 ya Mpango wa Taifa wa Chanjo uliofanyika kwenye Hoteli ya Blue Peal Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.   Katikati ni Naibu Waziri wa Afya, Stephen Kebwe.
X5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo Naibu Waziri wa Afya, Stephen Kebwe, kwa mchango mkubwa wa kuiongoza Wizara hiyo. Kebwe alikabidhiwa tuzo hiyo wakati wa hafla ya ufunguzi wa  Mkutano wa mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri na Wakurugenzi wa Hospitali za Rufaa, ulioanza leo Sept 8, 2015 na Maadhimisho ya Miaka 40 ya Mpango wa Taifa wa Chanjo uliofanyika kwenye Hoteli ya Blue Peal Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.   Katikati ni Katibu Mkuu, Wizara ya Afya, Dkt. Donan Mmbando.
X6
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo Dkt. Deo Mtasiwa, kwa mchango mkubwa wa kuiongoza Wizara hiyo akiwa Mganga Mkuu wa Serikali. Mtasiwa alikabidhiwa tuzo hiyo wakati wa hafla ya ufunguzi wa  Mkutano wa mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri na Wakurugenzi wa Hospitali za Rufaa, ulioanza leo Sept 8, 2015 na Maadhimisho ya Miaka 40 ya Mpango wa Taifa wa Chanjo uliofanyika kwenye Hoteli ya Blue Peal Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.   Katikati ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Stephen Kebwe.
X8
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti Prof. Janabi, kutoka Kitengo cha Moyo Muhimbili kwa kutambua mchango wake akiwa ni miongoni mwa watu walioshiriki Jitihada ya kudhibiti Janga la Ugonjwa wa Ebola Afrika Mashariki. Janabi alikabidhiwa Cheti hicho wakati wa hafla ya ufunguzi wa  Mkutano wa mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri na Wakurugenzi wa Hospitali za Rufaa, ulioanza leo Sept 8, 2015 na Maadhimisho ya Miaka 40 ya Mpango wa Taifa wa Chanjo uliofanyika kwenye Hoteli ya Blue Peal Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.   Katikati ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Stephen Kebwe.
X7
Msanii Mrisho Mpoto, na wasanii wa kundi lake la Mjomba Band, wakiigiza kutoa ujumbe kuhusiana na Siku ya Maadhimisho ya Miaka 40 ya Mpango wa Taifa wa Chanjo, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa, Halmashauri na Wakurugenzi wa Hospitali za Rufaa, ulioanza leo Sept 8, 2015 kwenye Hoteli ya Blue Peal Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
  X10
Sehemu ya washiriki wa mkutano huo kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania, wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati akihutubia kufungua rasmi Mkutano huo.
X11
12
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi na washiriki wa mkutano huo mara baada ya kuufungua.
Post a Comment