Friday, September 11, 2015

MAGUFULI ATIKISA NYAMONGO NA TARIME, MKOANI MARA

  Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. Jonh Pombe Magaufuli akinani sera zake Nyamongo mkoani Mara.
Dkt. Magufuli akiomba kura kwa wakazi wa Tarime, mkoani Mara.

No comments:

MMUYA: WANANCHI WANUFAIKE NA UWEKEZAJI WA NHC KUPITIA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maghala unaotekelezwa na S...