Friday, September 11, 2015

Maandalizi wa ufunguzi wa Mradi wa Nyumba za gharama nafuu Mlole Kigoma

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali Issa Machibya akishuhudia shughuli za maandalizi zinazofanywa na watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Mlole, Kigoma ambao unatarajiwa kufunguliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muunggano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete.
Mkurugenziwa Uendeshaji Mikoa wa NHC, Raymond Mndolwa akiwa kazini katika eneo la Nyumba za gharama nafuu Mlole, Kigoma wakati maandalizi ya uzinduzi wa nyumba hizo utakaofanywa Jumatatu na Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa, Muungano Kasibi Saguya akiwa kazini katika eneo la Nyumba za gharama nafuu Mlole, Kigoma wakati maandalizi ya uzinduzi wa nyumba hizo utakaofanywa Jumatatu na Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Haikamen Mlekio akikagua eneo la Nyumba za gharama nafuu Mlole, Kigoma wakati maandalizi ya uzinduzi wa nyumba hizo utakaofanywa Jumatatu na Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali Issa Machibya akishuhudia shughuli za maandalizi zinazofanywa na watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Mlole, Kigoma ambao unatarajiwa kufunguliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muunggano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete. Kulia ni Mkurugenziwa Uendeshaji Mikoa wa NHC, Raymond Mndolwa na kushoto ni Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Haikamen Mlekio.
Post a Comment