Meneja
wa Shirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa Tanga akiwa amebeba Mwenge kuazimisha
Mbio za Mwenge wilaya Muheza.
Meneja
wa Shirika la Nyumba Mkoa Wa Tanga akishiriki kikamirifu kwenye ngoma siku ya
kupokea mwenge wilayani Muheza.
Meneja
wa Shirika la Nyumba mkoa wa Tanga Akikagua Mradi wa Ufyatuaji Tofali za
zakufungamana za gharama nafuu kikundi cha Mali Hai Wilayani Muheza ambacho
kilitembelewa na Mwenge wa Uhuru.
Meneja
wa Shirika La Nyumba mkoa wa Tanga akiwa na maofisa wa ardhi wa Halmashauli ya
wilaya ya muheza kabla ya kupokea mwenge wilaya ya Muheza.
Vijana
wa kikundi cha Mali Hai wakichuja udongo kujiweka tayari kwaajili ya mapokezi
ya mbio za mwenge.
Askari
wa Mbio za Mwenge akiuweka mwenge mahala pake huku kiongozi wa Mbio za Mwenge
(Juma khatibu Chum) na Mkuu wa Wilaya ya Muheza (Mh.Esteria Kilasi)
wakishuhudia tukio hilo.
Meneja
wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Tanga.(Isaya Mshamba) akisalimiana na mkuu wa
wilaya ya muheza na Kiongozi wa Mbio za Mwenge baada ya Mwenge wa Uhuru
kuwasili kwenye eneo la tukio.
Kiongozi
wa Mbio za Mwenge Akimpongeza Meneja Wa Shirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa
Tanga (kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa) kwa Mchango
Mkubwa unaotolewa na Shirika kwa jamii na hasa kuwasaidia Vijana kujiajiri na
kuwainua kiuchumi kwa kuwapatia Mashine za ufyatuaji wa matofali ya kufungamana
ya gharama nafuu.
Meneja
wa Shirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa Tanga akitoa maelekezo kwa vitendo kwa
maafisa wa Mbio za Mwenge jinsi ya
ufyatuaji wa matofali.
Meneja akielezea ubora wa Tofali.
Meneja
wa Mkoa akitoa maelekezo jinsi ya Kujengea Tofali za kufungamana.
Meneja
wa mkoa,Mkuu wa Wilaya ya Muheza na kiongozi wa mbio za mwenge wakishiriki
zoezi la upandaji miti.
K
utoka
kushoto ni Meneja wa mkoa wa Shirika la Nyumba la Taifa (Isaya
Mshamba),Kiongozi wa mbio za Mwenge (Juma Khatibu Chum),Afisa Utumishi
Halmashauli ya wilaya ya Muheza na Mkuu wa Wilaya ya Muheza (Esteria Kilasi)
wakiwa kwenye picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment