Monday, June 15, 2015

SAFARI YA MWISHO YA MZEE SALUM SELLA

Pichani Mzee Salum Sella, aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), enzi za Uhai wake, Marehemu Sella alifariki dunia Jumamosi iliyopita katika Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam, amelitumikia Shirika la Nyumba la Taifa kwa muda mrefu kwa utumishi uliyo na uadilifu. Mazishi yake yanafanyika leo kijijini kwao Bwawani, Mororgoro.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Sella, Tabata Chang'ombe Dar es Salaam leo wakati ya maandalizi ya kusafirishwa kwa mwili wake.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Sella wakati ya maandalizi ya kusafirishwa kwa mwili wake.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Sella, Tabata Chang'ombe Dar es Salaam leo wakati ya maandalizi ya kusafirishwa kwa mwili wake.
 Mwili wa Marehemu, Salum Sella ukibebwa na wafanyakazi wenzake tayari kwa kuusafirisha kwenda kijijini kwao Bwawani Morogoro.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamejipanga kwajili ya kuupokea mwili wa Marehemu Sella nyumbani kwake, Tabata Chang'ombe Dar es Salaam leo wakati ya maandalizi ya kusafirishwa kwa mwili wake.
  Mwili wa Marehemu, Salum Sella ukibebwa na wafanyakazi wenzake tayari kwa kuusafirisha kwenda kijijini kwao Bwawani Morogoro.
  Mwili wa Marehemu, Salum Sella ukibebwa na wafanyakazi wenzake tayari kwa kuusafirisha kwenda kijijini kwao Bwawani Morogoro.

Baadhi ya waombolezaji wakiwa wanajadiliana jambo nyumbani kwa marehemu Sella, Tabata Chang'ombe Dar es Salaam leo wakati ya maandalizi ya kusafirishwa kwa mwili wake.
 Mwili wa Marehemu, Salum Sella ukibebwa na wafanyakazi wenzake tayari kwa kuusafirisha kwenda kijijini kwao Bwawani Morogoro.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Sella, Tabata Chang'ombe Dar es Salaam leo wakati ya maandalizi ya kusafirishwa kwa mwili wake.
 Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamejipanga kwajili ya kuusindikiza mwili wa Marehemu Sella nyumbani kwake, Tabata Chang'ombe Dar es Salaam leo wakati ya maandalizi ya kusafirishwa kwa mwili huo.

No comments:

KAMISHNA WA UHIFADHI TANAPA AONGOZA HAFALA YA KUAPIKA KAMISHNA MSAIDIZI MPYA

Arusha, Julai 18, 2025 – Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), CPA Musa Nassoro Kuji , ameongoza hafla ya kumuapish...