Tuesday, June 16, 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA ZAMANI WA SUDANI YA KUSINI REIK MACHAR NCHINI AFRIKA YA KUSINI

mail.google.com
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Makamu wa Rais wa zamani wa Sudani ya Kusini Mhe. Riek Machar Teny Dhurgon baada ya kufanya naye mazungumzo mafupi walipokutana jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, Jumatatu jioni Juni 15, 2015 baada ya Mkutano wa 25 wa Kawaida wa  Marais na Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika (AU), ambapo Mhe Machar alimuomba Rais Kikwete aendelee kuwa mwenyeji wa mikutano ya mazungumzo ya amani kati ya vikundi vitatu vinavyosigana vya nchi hiyo. Kulia ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
PICHA NA IKULU

No comments:

MMUYA: WANANCHI WANUFAIKE NA UWEKEZAJI WA NHC KUPITIA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maghala unaotekelezwa na S...