Balozi Sefue akisaini Kitabu cha Wageni katika Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
Balozi Sefue akisoma Kitabu cha Sera ya Mambo ya Nje huku akisikiliza maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Yahya. |
Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Taasisi zake wakifurahia jambo na Naibu Katibu Mkuu mara baada ya Katibu Mkuu Kiongozi kutembelea Banda la Mambo ya Nje. |
Juu na Chini ni Balozi Yahya akihojiwa na Mwandishi wa Habari kutoka TBC kuhusu mafanikio ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
Mkufunzi kutoka Chuo cha Diplomasia Bw. Ally Masabo naye akihojiwa na Mwandishi wa TBC |
Afisa Mambo ya Nje, Bw. Batholomeo Jungu akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliojitokeza kutembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Nje wakati wa Maonesho ya Utumishi wa Umma. |
Naibu Katibu Mkuu, Balozi Simba Yahya akitizama mfano wa Majengo yanayojengwa katika Banda la Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolijia. |
Naibu Katibu Mkuu Balozi Simba Yahya akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Wizara na Taasisi zake.Picha na Reginald Philip |
Comments