Saturday, June 27, 2015

CHAMA CHA WASAMBAZAJI WA FILAMU WAFIKIA MUAFAKA

1
Baadhi ya wadau wa filamu nchini ambao ni TRA, Bodi ya Filamu Tanzania na Chama cha Wasambazaji wa Filamu wakiwa katika kikao ili kujadili changamoto katika tasninia hiyo mapema juzi jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Frank Shija, WHVUM.
2
Afisa Utafiti Mwandamizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Ephraim Mdee akifafanua jambo wakati wa kikao na wawakilishi wa Chama cha Usambazaji wa Filamu nchini TAFDA walipokutana hivi karibuni ili kujadili changamoto zitokanazo na ueneaji wa Filamu kutoka nje ya nchini.Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wasambazaji wa Filamu Tanzania Bw. Emmanuel Myamba (Pastor Myamba).
3
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akisisitiza jambo wakati wa kikao na wawakilishi wa Chama cha Usambazaji wa Filamu nchini TAFDA walipokutana hivi karibuni ili kujadili changamoto zitokanazo na ueneaji wa Filamu kutoka nje ya nchini.Katika kikao hicho Serikali na wadau hao walifikia muafaka wakushirikiana kwa pamoja ili kuongeza kasi ya kukabiliana na maharamia ya kazi za filamu nchini.Kulia ni Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Bw. Simon Mwakifamba na kushoto ni Afisa Utafiti Mwandamizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Ephraim Mdee.
5
Mmoja wa wajumbe wa Chama cha Wasambazaji wa Filamu Tanzania TAFDA Bw. Suleiman Ling’ande (katikati) akichangia mada wakati wa kikao na wawakilishi wa Chama cha Usambazaji wa Filamu nchini TAFDA walipokutana hivi karibuni ili kujadili changamoto zitokanazo na ueneaji wa Filamu kutoka nje ya nchini.Katika kikao hicho Serikali na wadau hao walifikia muafaka wakushirikiana kwa pamoja ili kuongeza kasi ya kukabiliana na maharamia ya kazi za filamu nchini.

No comments: