Katibu wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini, Kulwa Milonge, akionyesha fomu zenye orodha ya majina ya wanachama wa ccm,104,03 waliomdhamini kugombea urais, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa(kulia).
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Kanali Mstaafu, Isaac Mwasongo, akisindikiza na Mwanasiasa Mkongwe, Steven Mashishanga(kushoto) baada ya kuzngumza katika mkutano wa Waziri Mkuu wa zamani,Edward Lowassa, wa Mkoa wa mwisho wa kupokea majina ya wadhamini kugombea urais
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi wa Mkoa wa Morogoro jana wakati wa akitoa shukrani katika kuhitimisha Mkoa wa mwisho wa kupokea orodha ya majina ya wadhamini wa kugombea urais.
Comments