Monday, June 15, 2015

Yamoto Band wakwea Pipa kwenda SA kufanya Video na Godfadher

 Vijana wa Yamoto Band Leo wamekwea Pipa wakiongozana na Boss wao Saidi Fella  kuelekea Afrika ya Kusini kwenda kufanya Video ya Wimbo wao Mpya Cheza kwa Madoido chini ya Director Godfadher.Picha zaidi HARAKATI ZA BONGO


No comments:

RAIS SAMIA AZINDUA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan , amezindua rasmi Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi w...