Friday, June 26, 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA MALAWI KATIKA SHEREHE ZA UHURU WA MSUMBIJI

4
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Wa Malawi Profesa Peter Mutharika wakitoka katika uwanja wa michezo wa Machava jijini Maputo Msumbiji baada ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 40 ya uhuru wa Msumbiji-Juni 25,2015.
(picha na Freddy Maro)
3
Askari wa Msumbiji wakishuka na mwavuli wakati wa sherehe za uhuru.
1
Ndege zikipita na kuchora rangi za bendera za Msumbiji jana wakati wa maadhimisho ya miaka 40 ya Uhuru wa msumbiji.


2

No comments:

TRC KUONGEZA SAFARI ZA SGR DAR ES SALAAM–DODOMA 🚆🇹🇿

  Habari njema kwa wasafiri! Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetangaza kuongeza safari za treni ya SGR kati ya Dar es Salaam na Dodoma kua...