Mbunge Nassar akiondoka katika uwaja huo mara baada ya kumalizza mkutano wa hadhara.
|
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akisalimiana na rubani wa Helkopta wakati anaanza ziara ya kuhamaisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa BVR. |
|
Mbunge Nassar akifunga mikanda tayari kwa kuanza ziara. |
|
Mbunge Joshua Nassar akitelemka kutoka katika helkopta wakati alipofika katika kata ya Shambalai Burka kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha. |
|
Baaadhi ya wananchi wakiwa wamembeba Mbunge Joshua Nassar mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Shambarai Burka. |
|
Mbunge Joshua Nassar akisalimiana na mmoja wa watoto waliojitokeza kumpokea. |
|
Kundi la kina mama pia walikuwa miongoni wananchi waliojitokeza kumpokea Mbunge Nassar. |
|
Mbunge Joshua Nassar akiwa na viongozi wengine wa Chadema wilaya ya Arumeru. |
|
Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Arumeru ,Gadiel Mwenda akizungumza katika mkutano uliofanyika kata ya Shambarai Burka kuhamasisha wanachi kujitokeza katika zoezi la uandikishwaji. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
Comments