Thursday, June 18, 2015

Waajiriwa wapya NHC wapigwa msasa Semina ya mafunzo Dar

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akitoa somo kwa waajiriwa wapya wa Shirika la Nyumba la Taifa walioajiriwa hivi karibuni kwenye hoteli ya JB Belmont, Dar es Salaam 
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akiwasilisha mada kwenye semina ya mafunzo kwa waajiriwa wapya inayofanyika kwenye hoteli ya JB Belmonte iliyoko Golden Jubilee Tower, Jijini Dar es Salaam leo.
 Pichani baadhi ya Waajiriwa wapya wakisikiliza mada kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Felix Maagi wakati akiwasilisha mada kwenye semina ya mafunzo kwa waajiriwa wapya inayofanyika kwenye hoteli ya JB Belmonte iliyoko Golden Jubilee Tower, Jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Prof. Mfaransa Aja na Kitabu: Aiambia Dunia Kutalii Tanzania ni Tiba

Na Mwandishi Wetu Paris, Ufaransa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, akiwa nchini Ufaransa jana Julai 8, 2025 amek...