Monday, June 08, 2015

WILLIAM LUKUVI AWASILISHA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YAKE KWA MWAKA WA FEDHA 2015/16 BUNGENI MJINI DODOMA

mail.google.com
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akiwasilisha Makadirio ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2015/16 bungeni mjini Dodoma  Juni 8, 2015,
02
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendekeo ya Makazi Mh. William Lukuvi (MB) akijadili jambo na Watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Mkuregenzi Mkuu wa Shirika hilo Bwn. Nehemiah Mchechu (kulia) na Meneja wa Shirika hilo Mkoa wa Dodoma, Bwn. Itandula Gambalagi.
01
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendekeo ya Makazi Mh. William Lukuvi (MB) akibadirishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Bw. Nehemiah Mchechu, baada ya kuwasilisha Bungeni bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi leo Dodoma.
Na. Georgina Misama…Maelezo…Dodoma.

No comments:

MMUYA: WANANCHI WANUFAIKE NA UWEKEZAJI WA NHC KUPITIA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maghala unaotekelezwa na S...