Monday, June 15, 2015

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AWASILI MPANDA NA KUPATA MAPOKEZI MAKUBWA-JUNI 14,2015

2
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia mkono wananchi wa Mji wa Mpanda waliofika kwenye uwanja wa ndege kumpokea wakati alipowasili mjini hapo akitoka Dodoma Juni 14,2015.
Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu
43
Baadhi ya wananchi wa mji wa Mpanda waliojitokeza kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda kumpokea Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda  wakati alipowasili kwenye uwanja huo akitoka Dodoma Juni 14, 2014.
7
65
8

No comments:

KAMISHNA WA UHIFADHI TANAPA AONGOZA HAFALA YA KUAPIKA KAMISHNA MSAIDIZI MPYA

Arusha, Julai 18, 2025 – Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), CPA Musa Nassoro Kuji , ameongoza hafla ya kumuapish...