Thursday, June 11, 2015

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AFUNGUA MASHINDANO YA UMISETA

1
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akikagua kundi la waamuzi na walimu wa michezo wa shule za sekondari baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10, 2015.
2
Masanii wa ngoma ya Kisukuma akicheza na nyoka aina ya chatu wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza amabko Juni 10, 2015 alifungua michezo ya IMISETA.
3
Baadhi ya washiriki wa mashindano ya UMISETA wakipita kwa mandamano mbele ya mgeni rasmi, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika ufunguzi wa mashindano hayo kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10, 2015.
4
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya kanda ya ziwa baada ya kufungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Juni 10, 2015.
5
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipiga mpira wakati alipofungua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Juni 10, 2015.
78
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akirusha mpira wa kikapu wakati alipozindua mashindano ya UMISETA kwenye uwanja wa CCM Kirumba Juni 10, 2015.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

MMUYA: WANANCHI WANUFAIKE NA UWEKEZAJI WA NHC KUPITIA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maghala unaotekelezwa na S...